Virusi vya corona: Afrika yafanikiwa kupata chanjo za dozi milioni 270


A volunteer receives an injection of a Covid-19 jab in Soweto, South Africa in 2020

Umoja wa Afrika umenunua dozi milioni 270 za chanjo ya corona ili kusambaza barani Afrika.

Dozi zote zitatumika mwaka huu, alihaidi mwenyekiti wa AU rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa.

Idadi hii ni nyongeza ya dozi milioni 600 ambazo zilikuwa zimehaidiwa tayari ambazo bado hazitoshi kutoa chanjo kwa bara zima la Afrika.

Kuna wasiwasi kuwa nchi maskini zitachelewa kupata chanjo tofauti na mataifa tajiri.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *