Virusi vya Corona: Je shule za Tanzania zimeweka mikakati gani baada ya kufunguliwa?


Wanafunzi nchini Tanzania wameanza masomo baada ya kusitishwa kwa muda wa zaidi ya miezi mitatu kufuatia janga la Covid-19. Lakini je Shule zimejipanga vipi kudhibiti maambukizi?. BBC imetembelea shule moja ya awali iliyopo jijini Dar es salaam.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *