Virusi vya corona: Jinsi Kremlin inavyomlinda Rais Putin dhidi ya maambukizi


Presidente Putin

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Rais wa Urusi Vladmir Putin

Kuanzia mwanzo wa janga la corona, mamlaka nchini Urusi zimefanya kila linalowezekana kumlinda Rais Vladimir Putin kutokana na maambukizo ya ugonjwa huo. Lakini unaandaaje karantini ya mtindo wa Kremlin na kwa gharama gani?

Katika mwaka uliopita, mamia ya watu walilazimika kujitenga nchini Urusi, kabla ya kumkaribia Vladimir Putin.

Wengine walilazimika kujitenga hata ikiwa hawakutangamana moja kwa moja na rais, lakini kama tahadhari kwa sababu walikuwa wakitangamana na watu wengine ambao walikuwa wanapanga kukutana naye.

Mnamo Machi 25, 2020, Rais Putin alihutubia taifa na kutangaza kwamba Aprili 1 itaashiria mwanzo wa “wiki isiyo ya kufanya kazi,” wakati coronavirus ilipoenea haraka nchini Urusi.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *