
‘Nataka watoto wangu wajivunie kuwa weusi’
Kuungwa mkono kwa vuguvugu za harakati za mtu mweusi ‘Black Lives Matter’ kuenea nchini Uingereza tangu kuuliwa kwa George Floyd, tukio hilo limesababisha wazazi wengi kupata wakati mgumu kuwafafanunulia watoto wao kuhusu ubaguzi wa rangi.