Wanawake Sudan: Wanasema sisi wanaume kwa kuwa tunacheza mpira


Wakati wa utawala wa miaka 30 ya utawala wa Omar al-Bashir nchini Sudan, kuliwekwa marufuku zilizowagusa wanawake, ikiwemo ya wanawake kutocheza kandanda.

Aliondolewa madarakani baada ya maandamano ya mwaka 2019. Serikali mpya inayoongozwa na raia imekubali kwa mara ya kwanza kuanzishwa kwa ligi ya wanawake.

Hata hivyo, bado wanawake hawa wanakumbwa na changamoto.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *