Watoto mitaani wilayani Mbale Uganda wabadilika kupitia muziki


Watoto waliokosa malezi na kurandaranda mitaani wamekuwa kero katika mataifa mengi barani Afrika na Wengi wao wamehusishwa na utovu wa usalama na hata kuhusishwa na magenge ya Uporaji, Mjini Mbale nchini Uganda kundi moja la vijana limeanzisha mradi wa kuwabadilisha tabia watoto hao kwa kutumia muziki.

Kundi hilo kwa jina Delight linawapa watoto hao ala za muziki na mafunzo ya kutumia ala hizo kama njia ya kuwatoa mitaani na kuwafanya kuwa watu wa kuheshimika katika jamii.

Mwandishi wa BBC Roncliffe Odit yuko mjini Mbale Uganda na ametutumia taarifa hiyo.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *