WhatsApp: Watumiaji wasiofuata masharti kukosa huduma za ujumbe


WhatsApp

Watumiaji wa mtandao wa WhatsApp ambao hawatafuata masharti mapya na vigezo mpaka kufikia tarehe 15 mwezi Mei hawataweza kupokea au kutuma ujumbe mpaka wakubali masharti hayo.

Akaunti zao zitaorodheshwa kama ”zisizofanya kazi”. Na akaunti zisizofanya kazi zinaweza kufutwa baada ya siku 120.

Simu na ujumbe wa arifa utafanya kazi kwa ”muda mfupi” lakini TechCrunch imeripoti, labda kwa ”wiki chache”.

WhatsApp ilitangaza mabadiliko mwezi Januari.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *