Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Trump atangaza ushuru kwa bidhaa za Mexico

Katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Rais Trump alitangaza kwamba ushuru huo unaweza ukaongezeka hadi asilimia 25…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mwili wa Tshisekedi warejeshwa DRC

Kuwasili kwa mwili wa Etienne Tsisekedi kulizusha majonzi na huzuni kubwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye uwanja wa ndege. Mwanae…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Shule inayotoza karo kupitia taka za plastiki

Akshar Forum katika Jimbo la Assam Mashariki mwa India imebuni njia ya kipekee ya wanafunzi kulipa karo ya shule. Wanahitajika…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mchakato wa marekebisho ya katiba Kenya waanza

Ili hatua hiyo kupita, sharti saini milioni moja zipate ridhaa ya tume ya uchaguzi mkuu. Kauli za kutaka kuifanyia katiba…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Usafi ndiyo adui wa Kipindupindu

Kwa kawaida hupatikana katika chakula au maji machafu na kinyesi kutoka mtu aliye na maambukizi. Kwa hiyo, huambukizwa kwa njia…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Chelsea yaibamiza Arsenal na kubeba kombe la Ligi ya Europa

Eden Hazard alifunga magoli mawili huku Chelsea ikiibamiza Arsenal katika fainali ya kombe la Ligi ya Europa na kumpatia kocha…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Venezuela washindwa kuafikiana

Hata hivyo kiongozi wa upinzani Juan Guaido amesema mazungumzo hayo yataendelea licha ya mjadala wa jana Jumatano kumalizika bila maafikiano….

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Nini kitarajiwe baada ya Israel kulivunja bunge?

Ni siku 50 tu baada ya kuonekana kupata ushindi wa kuridhisha, na kupata nafasi ya kuchaguliwa tena, waziri mkuu Benjamin…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Saudi Arabia yataka Iran ijibiwe kwa nguvu zote

Marekani na baadhi ya maafisa wa mataifa ya Kiarabu wanadai mashambulizi hayo yalifanywa na Iran. Waziri al-Assaf ametoa matamshi hayo…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Havard yamtunukia Merkel Shahada ya Udaktari wa Heshima

Rais wa chuo cha Havard Larry Bacow aliemtunukia tuzo hiyo Merkel, amemueleza kansela huyo wa Ujerumani kwa miaka 14, kama…