Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Hoteli ya Dusitd2: Hoteli ilioshambuliwa na al-Shabab yafunguliwa Kenya

Hoteli ya Dusitd2 iliopo katika eneo la Riverside Drive Jijini Nairobi imefunguliwa , miezi sita baada ya kushambuliwa na magaidi…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Idara ya uhamiaji yasema inamhoji Kabendera kuhusu uraia wake

Image caption Kamishna wa udhibiti wa pasipoti wa idara ya uhamiaji Gerald Kihinga Idara ya uhamiaji imethibitisha kuwa inamshikilia mwandishi…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Hong Kong : Kukamatwa kwa waandamanaji 44 kwazua ghasia

Hii ni mara ya kwanza mshtaka kama hayo kufunguliwa tangu maandamano yalipoanza mwezi Juni. Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Richard Tongi: Mbunge wa Kenya aliyerejea India kulipa deni alilokopeshwa miaka 30 iliyopita akiwa mwanafunzi

Haki miliki ya picha RICHARD TONGI / RAVIKANT GAVLI Image caption Richard Tongi na Kashinath Gawali Kashinath Gavali, 75, makaazi…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Wahamiaji 15 wa Ethiopia wapoteza maisha baharini

Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia wahamiaji limeripoti kwamba raia wapatao 15 wa Ethiopia wamefariki baada ya boti waliokuwa wamepanda…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Wafungwa waanzisha mgomo wa njaa Misri

Shirika la Kutetea Haki za Binadamu Amnesty International limesema leo kwamba wafungwa wapatao 130 wamekuwa katika mgomo wa njaa katika…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Umoja wa Ulaya waipunguzia Kenya fedha

Umoja wa Ulaya na washirika wake wamekipunguza kwa nusu kiwango cha fedha zilizotengewa Kenya kwa mchango wake katika¬† mapambano dhidi…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Ronald Regan: Kwa nini rais huyo wa zamani Marekani aliwaita wajumbe Waafrika 'tumbili'

Rais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan aliwaita tumbili wajumbe wa Afrika katika Umoja wa Mataifa UN mwaka 1971 wakati…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Sudan yafunga shule baada ya mauaji ya wanafunzi

Siku ya Jumanne mamia ya wanafunzi waliandamana katika mitaa ya mji wa Khartoum, wakiwa wamevalia sare zao za shule huku…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mgonjwa mwengine athibitika kuugua Ebola Goma Mashariki DRC

Hofu kubwa imetanda kwa mara nyingine mjini Goma mashariki mwa Kongo baada ya kutangazwa kuweko kwa mgonjwa wa pili wa…