Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Neymar: Wachezaji wa Barcelona 'wako tayari kucheleweshewa malipo' kusaidia katika usajili wa nyota wa Brazil

Haki miliki ya picha Reuters Image caption Neymar amefunga mabao 105 katika mechi 186 ya kalabu hiyo ya Uhispania kati…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Tanzania: Mnada wa korosho waanza,wakulima wamenufaika?

Mnada wa kwanza wa msimu wa korosho mwaka huu umeanza leo Alhamisi. Mnada huo unafanyika mkoani Mtwara, kusini mwa Tanzania,…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Baraza la Wawakilishi laidhinisha uchunguzi wa kumuondoa Trump madarakani

Azimio hili litawezesha baraza hilo kufanya mahojiano katika vikao na watu mbalimbali ambavyo vitaweza kuonekana na kusikika mubashara na wananchi…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Lebanon bado kwafukuta

Mwandamanaji mmoja ambaye pia ni mwanafunzi aliyejitambulisha kwa jina moja tu la Zena amesema¬†wamekubaliana kufungua barabara kuu¬†lakini watakuwa tayari kuzifunga…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Wanablogu wakutana mjini Nakuru Kenya kuzungumzia saratani

Ujumbe wa leo ulikuwa kuwahamasisha watu kuhusu ugonjwa wa saratani ili kuondoa dhana na unyanyapaa ulioko. Maurice Muturi, mwana blogu…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Pakistan : Ajali ya moto ndani ya treni yaua abiria 74

Katika ajali hiyo abiria wengine kadhaa walijeruhiwa. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Rahimyar Khan katika jimbo la mashariki…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Algeria: Wananchi wapinga kufanyika uchaguzi, wadai mageuzi kwanza

Ikiwa imebaki wiki sita kabla ya uchaguzi huo kila upande unachukulia siku hiyo kama mtihani wa kupimana nguvu kuhusu mageuzi,…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Uganda: Wakataa kutumia choo kwa kuwa kimefungwa kamera

Haki miliki ya picha AFP Wakazi wa mji wa Tororo mashariki mwa Uganda, wamekataa kutumia choo cha umma kilichotengenezwa kwa…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Twitter yapiga marufuku matangazo ya kisiasa

Haki miliki ya picha Reuters Image caption Jack Dorsey amesema maelezo zaidi yatatolewa mwezi Disemba Twitter imepiga marufuku matangazo ya…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Umoja wa Mataifa waonya kuhusu mgogoro wa Fizi jimbo la Kivu Kusini

Kwenye mkutano na wandishi habari hapa mjini Kinshasa,kiongozi wa tume ya haki za dinadamu ya umoja wa mataifa nchini Kongo,…