Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Schalke yapata ushindi na kusonga hadi nafasi ya pili

Schalke wana pointi 25 ijapokuwa na tofauti ndogo ya mabao ikilinganishwa na Gladbach, ambao watashuka dimbani Jumapili dhidi ya Freiburg….

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mshambuliaji wa London alikuwa mfungwa wa zamani wa ugaidi

Polisi imesema mshambuliaji huyo alikuwa Usman Khan, mwenye umri wa miaka 28 ambaye aliachiliwa huru kutoka jela mwaka jana baada…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Matangazo ya Dira ya Dunia TV

Ijumaa 29.11.2019 na Mariam Omar & Beryl Wambani Source link

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Wizara ya afya ya Rwanda imethibitisha majaribio yamefika katika awamu ya nne ya utafiti

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Tiba ya sindano badala ya vidonge vya kila siku kwa wagonjwa wa…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Arsenal yamfuta kazi Unai Emery: Ni nini alichofanya raia huyo wa Uhispania na je ni makosa yake?

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Emery alishinda asilimia 55 ya mechi 78 akiisimamia Arsenal Uamuzi wa Arsenal…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Maelfu waandamana ulimwenguni kuhusu mabadiliko ya tabia nchi

Maelfu ya watu nchini Australia na nchi kadhaa za Ulaya wameungana na wengine ulimwenguni kuandamana ili kushinikiza hatua zaidi zichukuliwe…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Watafiti wanataka kubaini iwapo mnyama huyo ni mbwa au mbwa mwitu

Watafiti wanajaribu kubaini iwapo mbwa aliye na umri wa miaka elfu 18 aliyepatikana huko Siberia ni mbwa au mbwa mwitu….

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Lastesis: Densi inayopinga dhulma za kijinsia Chile

Kufikia sasa mwaka huu, takriban wanawake 41, wameuawa nchini Chile, kulingana na takwimu za serikali. Kanda ya video inayoonyesha Lastesis,…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Serikali ya mpito Sudan yakifuta kilichokuwa chama tawala cha Omar al-Bashir

Pia serikali hiyo iliyoko madarakani imeondoa sheria kandamizi zilikuwa zikitumiwa na Rais wa zamani Omar al Bashir dhidi ya wanawake….

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Zimbabwe iko kwenye janga kubwa la njaa linalosababishwa na binaadamu

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Ukame, kukosekana kwa mvua ya kutosha na majanga ya asili vinachangia tatizo…