Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Jinsi gani unashiriki katika kujifunza kwa mtoto wako?

Katika haba na haba wiki hii, tunaangazia vipindi vilivyo fana sana na kupata mwitikio mkubwa kwenye kurasa za mitandao ya…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Waandamanaji wa Iraq wavamia ubalozi wa Marekani mjini Baghdad

Waombolezaji nchini Iraq wamekusanyika nje ya ubalozi wa Marekani mjini Baghdad kulaani mashambulio ya ndege za Marekani yaliyolenga vituo vya…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Moto Australia: Maelfu watorokea baharini huku moto mkali ukielekea pwani

Haki miliki ya picha ALASTAIR PRIOR Image caption Wakazi wa Batemans Bay mjini New South Wales pia walikimbilia baharini kujiepusha…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Upasuaji uliotumbukia nyongo huko Romania

Mwanamke mmoja raia wa Romania aliyekuwa akifanyiwa upasuaji katika chumba cha upasuaji alichomeka moto pale madakatari waliokuwa wakimfanyia upasuaji wa…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Tanzania: Mama wa mwandishi wa habari Eric Kabendera afariki dunia

Image caption Mama mzazi wa mwandishi wa habari Erick Kabendera Mama wa mwandishi wa habari aliye mahabusu nchini Tanzania Erick…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Bolivia yawafukuza mabalozi wa Uhispania, Mexico

Rais wa mpito wa Bolivia, Jeanine Anez, amesema serikali yake imeamua kuwafukuza mabalozi wa ngazi za juu wa Mexico na…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Habari kuu zilizogonga vichwa vya habari 2019: Khashoggi, Mugabe, Trump. Kim Jong Un, Iran, Kimbunga Idai, lori la mafuta na Afcon

Mwaka wa 2019 ni mojawapo ya miaka iliokuwa na habari chungu nzima, kutoka habari za kusikitisha, za kufurahisha na hata…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 31.12.12: Abraham, Pogba, Fernandes, Henry, Drinkwater, Nketiah

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Mshambuliaji wa Chelsea, Tammy Abraham anataka kulilipwa – £180,000 kwa wiki –…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Matangazo ya Dira ya Dunia TV, Jumatatu 30/12/2019

Matangazo ya Dira ya Dunia TV, Jumatatu 30/12/2019 na Zuhura Yunus na Wazir Khamsin Source link

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Burundi : Mwendesha mashtaka aitaka mahakama itoe adhabu ya miaka 15 kwa waandishi 4

Katika kesi iliyo sikilizwa na mahakama ya mkoa wa Bubanza, kaskazini magharibi mwa Burundi, mwendesha mashtaka huyo amewashtumu wanahabari hao…