Afungwa kifungo cha maisha mara mbili kwa kumuua mke wake kwa nyoka aiana ya cobra


Sooraj Kumar and his wife Uthra at their wedding
Maelezo ya picha,

Sooraj Kumar (katikati) ashtakiwa kwa kumuua mke wake kwa nyoka

Mwanaume mmoja nchini India, ameshtakiwa kumuua mke wake na kumuwekea nyoka aina ya ‘cobra amng’ate, na kuhukumiwa kifungo cha maisha mara mbili.

Sooraj Kumar alikamatwa mwaka jana baada ya mke wake Uthra, kufariki na kukutwa na alama ya kung’atwa na nyoka.

Polisi walianza kufanya uchunguzi baada ya familia yake kutoa shutuma za mauaji na kusema Sooraj alikuwa akiwanyanyasa kwasababu ya mahari.

Jumatatu , mahakama ilimkuta Sooraj na hatia ya kumuachia cobra atembee kwenye kitanda chao wakati Uthra akiwa amelala.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *