Alberto Gomez Sanchez: Aliyemkatakata na kuumla mamake Uhispania mashakani


Alberto Gomez Sanchez alikamatwa na polisi 2019

Chanzo cha picha, SPANISH POLICE

Maelezo ya picha,

Alberto Gomez Sanchez alikamatwa na polisi 2019

Mwanamume mmoja wa nchini Uhispania amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela baada ya kumuua mamake na kula mabaki yake.

Alberto Sanchez Gomez mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa 2019 baada ya maafisa wa polisi kupata mabaki ya mwili katika nyumba ya mamake huku mengine yakiwa katika plastiki.

Mahakama ilikataa kwamba alikuwa anakabiliwa tatazo la kiakili wakati wa mauaji hayo.

Atatumikia kifungo cha miaka 15 kwa mauaji na miezi mingine mitano kwa uharibifu wa mabaki ya mfu. Pia ametakiwa kulipa faini $73,000 kama fidia.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *