Andrew Watson: Mwanasoka mweusi 'mwenye ushawishi mkubwa' na uhusiano wake na biashara ya watumwa


Watson mural in Galsgow

Chanzo cha picha, Rachell Dallas

Maelezo ya picha,

Watson alisaidia kubadilisha jinsi soka ilikuwa ikichezwa

Andrew Watson alikuwa nahodha wa timu wa Scotland ikiyopata ushindi wa 6-1 dhidi ya England mwaka 1881. Alikuwa mchezaji wa kwanza wa kimataifa mwenye asili ya Afrika lakini kwa zaidi ya karne, mafanikio yake makubwa hayakutambuliwa.

Utafiti uliofanywa kwa zaidi ya miongo mitatu umetupa taarifa zinazomhusu: mwanamume kutoka kwa watumwa mzaliwa wa Guyana, alikuzwa kuwa mwanamume wa kizungu na kupata umaarufu kama mcheza soka bora zaidi huko Scotland.

Miaka 100 baada ya kifo chake akiwa na umri wa miaka 64 Watson bado anabaki kutoeleweka vizuri.

Wakati Watson alihamia Glasgow mwaka 1875 akiwa na umri wa miaka 18 hakuwa amecheza soka.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *