Arsenal: Mwanzilishi wa Spotify Daniel Ek asema ombi lake la kutaka kuinunua Arsenal limekataliwa


Daniel Ek

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Ek anasema kwamba amekuwa shabiki wa Arsenal tangu utoto wake

Mwanzilishi wa mtandao wa Sportify Daniel Ek anasema kwamba aombi lake la kutaka kuinunua Arsenal limekataliwa

Huku kukiwa na tofauti kuhusu kuanguka kwa ligi ya Superleague mnamo mwezi Aprili, Ek alisema kwamba ana hamu ya kuinunua klabu hiyo.

Siku ya Jumamosi , alitoa taarifa katika mtandao wa twitter kukana ripoti kwamba alikuwa bado hajawasilisha ombi lake la kuinunua klabu hiyo.

“Wiki hii ombi liliwasilishwa kwa Josh Kroenke na mabenki yao kuhusu ombi la kuwamiliki mashabiki, uwakilishi wa bodi na hisa sawa kwa mashabiki”, Ek aliandika.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *