Baba akabiliwa na kibarua kigumu kuhusu uhai wa watoto zake pacha


Marieme na Ndeye ni mapacha walioungana. Walizaliwa Senegal,miaka miwili iyopita lakini wanaishi na baba yao, Ibrahima Ndiaye mjini Wales. Bw. Ndiaye anakabiliwa na kibarua kigumu cha kuamua ikiwa awaache watoto hawa wawili kufariki au kuwaruhusu madaktari kuwatenganisha. Kuna hofu kubwa mmoja wao huenda akafariki lakini anasema hawezi kuua mmoja wa watoto wake ili kuyanusuru maisha ya mwingine.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *