Baba Gerezani: Manii yanapitishwa kisiri kutoka Jela Israel hadi Palestina kutumiwa kuwapandikiza mimba wanawake ambao waume zao wapo gerezani


Dallal said her son, born from smuggled sperm, was a 'gift from God'
Maelezo ya picha,

Mamake Dallal, anasema kumzaa mtoto wake huyo ni ‘zawadi’ kutoka kwa Mungu

Mwanzoni ungemuambia mtu kwamba jambo hili lilikuwa likitendeka basi ungekumbana na pingamizi si haba kuhusu uwezekano na hata ukweli wa kile ambaco wafungwa walikuwa wakifanya waiwa ndani ya mageeza ya Israel.

Licha ya kuwa walikuwa wafungwa ,waliendelea kupata watoto na wake zao wambao wapo katika eneo la Wapalestina la Gaza na West Bank sehemu zinazokaliwa na waisraeli.

Ripoti za mwanzo mwaka wa 2013 kwamba wafungwa walikuwa wakiweza kutoa manii ,kuficha kwney kila aina ya chupa na kisha kuzitoa magerezani kisiri hadi kwa wake zao ili wapandikizwe mimba kupitia IVF zilipokelea kwa njiaya kupuuzwa.

Maafisa wa Israel wenyewe walisema kwamba haingezekana kwamba mfungwa angeachiliwa huru kisha aondoke akiwa na chupa zenye manii kuwapelekea wake za wafungwa wenzake waliobaki jela .Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *