Biden asema Marekani itailinda Taiwan iwapo China itaishambulia


US President Joe Biden participates in a CNN town hall at the Pabst Theater in Milwaukee, Wisconsin, February 16, 2021

Chanzo cha picha, Getty Images

Rais wa Marekani Joe Biden amesema nchi yake itatetea Taiwan ikiwa Uchina itashambulia, hatua ambayo inatofautiana hadharani na sera ya muda muda mrefu ya Marekani

“Ndio, tuna wajibu wa kufanya hivyo,” alisema alipoulizwa katika ukumbi wa mji alipoulizwa iwapo Marekani itailinda Taiwan .

Lakini msemaji wa Ikulu baadaye aliambia baadhi ya vyombo vya habari vya Marekani kwamba matamshi yake hayakuashiria mabadiliko ya sera.

Marekani kwa muda mrefu imekuwa ikifanya “utata wa kimkakati” linapokuja suala mwiba wa kutetea Taiwan.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *