Bouba Diop afariki dunia


Atakumbukwa sana kwa goli alilolifunga Senegal walipokuwa wakikwaana na mabingwa wa dunia wakati huo Ufaransa katika mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia ambapo miamba hao wa Afrika waliebuka kidedea.

Niederlage des Favoriten

Bouba Diop akifunga goli, Kombe la Dunia dhidi ya Ufaransa 2002

Alikuwa pia kwenye kile kikosi kilichopoteza fainali ya Kombe la Mataifa barani Afrika kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Cameroon.

Vyombo vya habari nchini Senegal vinasema kiungo huyo wa zamani amefariki baada ya kuugua kwa muda mrefu.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *