Chama cha ACT-Wazalendo chapendekeza jina kwa Rais wa Zanzibar


Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, marehemu Seif Sharif Hamad

Chama cha ACT-Wazalendo kimempendekeza mrithi wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad.

Kiongozi wa chama hicho Zitto kabwe ameyasema hayo katika siku ya dua maalum ya kumuombea marehemu Maalim Seif jijini Dar es Salaam.

Akitoa shukrani kwa waliofika kumuombea Marehemu, Bw. Zitto amesema kuwa ;

“Tayari tumeshapendekeza jina kwa Rais wa Zanzibar la mtu ambaye atarithi majukumu ambayo Maalim Seif alikuwa anayafanya.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *