Chama cha upinzani Tanzania hawataki kuridhiana na Magufuli


Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-wazalendo, Zitto Kabwe amezungumza na waandishi wa habari hii Leo wakati chama kikitoa salamu za Mwaka Mpya na kufanya tathimini ya miaka minne ya serikali ya awamu ya tano.

Chama cha upinzani Tanzania, ACT wazalendo kimesema kuwa hakitaki maridhiano ya kisiasa kwa sababu wanaamini kuwa watakinufaisha chama cha Mapinduzi- CCM.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *