Charles Maurice de Talleyrand: Mtu aliyeongoza mapinduzi mawili, akawadanganya wafalme 20 na kuanzisha bara Ulaya


Charles Maurice de Talleyrand, mmoja ya watu mashuhuri katika shitoria ya ufaransa na Ulaya

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Charles Maurice de Talleyrand, mmoja ya watu mashuhuri katika shitoria ya ufaransa na Ulaya

Mwanamfalme wa Benevento na Dola, Mwanamfalme wa Talleyrand na Périgord, Duke wa Dino, Muhasibu wa Périgord, Rika la Ufaransa, Duke wa Talleyrand na Périgord, Makamu wa Grand Elector Imperial, Mkuu wa Jeshi , shujaa wa agizo la Saint-Esprit, Shujaa wa agizo la Uhispania la ngozi ya Dhahabu, Kamanda Mkuu wa Agizo la Taji la Westphalia ..

Hizi ni miongoni mwa baadhi ya vyeo alivyopatiwa katika maisha yake ya miaka 82 Charles Maurice de Talleyrand, mmoja ya watu ambao takwimu zao zilipendeza na kujadiliwa katika historia ya Ufaransa na Ulaya.

Mwansiasa mwenye uwezo mkuu ambaye alikuwa na ushawishi mkubwa kati ya karne ya 18 na 19 , ambaye aliunga mkono na kuangusha tawala tofauti na ambaye amedaiwa kuwa msaliti aliyedaiwa kubembeleza upande mmoja huku mwengine akiwa na chuki bila kujulikana.

Uwezo wake wa kupewa orodha ndefu ya nyadhfa za heshima ni sawa na utajiri aliokuwa nao , chuki alizovutia na viongozi wengi aliowaongoza na baadaye kuwaachilia hatma yao.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *