Erumena Amata "Niliolewa nikiwa na miaka 64 baada ya kila mtu kukata tamaa"


Erumena Amata

Familia na marafiki wa wapendanao hawafichi furaha yao walipohudhuria sherehe ya kimila ya harusi iliyofanyika Oktoba 9 mwaka 2021.

Katika harusi hiyo ya Bibi harusi Erumena, kulikuwa na msururu wa wapambe na wasindikizaji wa binti harusi ‘maids’ ambao ni marafiki zake wa muda mrefu wenye umri wa zaidi ya miaka 50 ambao bibi harusi anawaita ‘ wasaidizi wa heshima’

Marafiki zake hao wa muda mrefu na urafiki wao ulidumu kwa muda mrefu wengi wao wanaitwa sasa bibi, maprofesa na mama, kutokana na umri wao kusonga.

Mmoja wa wasaidizi hao alilazimika kusaifiri kutoka London kuja kushuhudia harusi hiyo ya kihistoria.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *