Fahamu kwanini mwaka haumaliziki usiku wa manane wa Desemba 31?


Yogyakarta, Indonesia, fataki zilitanda angani mshale wa saa ulipogonga saa tisa usiku

Vifijo na nderemo na sherehe zisizo na kifani ni baadhi ya utamaduni kwa mamilioni ya watu kote duniani ambao hukusanyika kusherehekea usiku wa manane wa Desemba 31 watu wakiwa wamekusanyika na hata kuhesabu kadiri wanavyokaribia kuingia mwaka mpya.

Kile watu wanachoamini wakati huo ni kwamba mwaka mmoja unaisha na mwaka mwingine unaingia, wakiwa na matumaini ya siku njema za baadaye hasa mwaka unaoingia na kujiwekea malengo chungu nzima ya tayari kuyatimiza.

Ni siku ya mwisho katika Kalenda ya Gregori iliyoundwa kwa kuzunguka siku 365 pamoja na unaochukuliwa kuwa mwaka mrefu kama wa 2020.

Kalenda hiyo imekuwa ikitumika tangu mwaka kusitishwa kwa kalenda ya Yulio mwaka 1582.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *