Harar – mji wa Ethiopia unaojulikana kama 'Mecca ya Afrika'


Harar street scene

Wakati mji wa Harar uliopo Ethiopia unaotambuliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayansi na utamaduni UNESCO, ukisheherekea maadhimisho ya 1,010, mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza, anaeleza upekee wa urithi uliopo hapo.

Usiku unapoingia katika jiji la kale la Harar, na ninashuhudia mambo ya kushangaza, ingawa kwa wenyeji ni kawaida.

Kijana mmoja akiwa amebeba vipande vya nyama kwenye vijiti , na kuweka kijiti mdomoni mwake na kisha anawalisha fisi kadhaa ambao hutoka gizani, macho yao yaking’aa wakati wanaingia kwenye mwanga.

Mbinu hiyo ikitumika kuwavutia watalii.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *