Inawezekana vinyesi kudondoka kutoka kwenye ndege? na kuna uwezekano gani wa vinyesi hivyo kutumwagikia?


An aeroplane lands in a beautiful sunset

Chanzo cha picha, Getty Images

Waingereza huwa na wasiwasi wa hali ya hewa, lakini mtu mmoja kutoka Berkshire, magharibi mwa London, amekuwa na sababu maalum ya wasiwasi juu ya mbingu zilizo juu yake. Alikuwa amepumzika katika bustani yake pale “alipondokewa na ‘kinyesi’, kutoka kwenye ndege.

Ilitokea katikati ya Julai, lakini imejitokeza sasa kufuatia mkutano wa baraza.

Akizungumza kwenye jukwaa la masuala ya anga, Kansela Karen Davies alisema aliwasiliana na mpiga kura mmoja na “kuogopa” kusikia tukio hilo “baya”.

Alielezea jinsi “bustani yake yote, na miavuli ya bustani, na yeye wote walikuwa wamefunikwa” na kinyesi.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *