Mahakama ya Mafisadi yawahukumu wawili kifungo cha maishaPia mahakama hiyo imetoa amri ya kutaifisha mali za watuhumiwa ikiwemo gari aina ya Discover 4 ili iwe mali ya Serikali, huku dawa hizo zikitakiwa kuteketezwa vimesema vyanzo vya habari nchini.

Hukumu ya kesi hiyo namba 4 ya mwaka 2020, imetolewa na Jaji Elinaza Luvanda baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili kati ya Jamhuri na Utetezi na kujiridhisha kwamba watuhumiwa wamekutwa na hatia katika makosa mawili ya usafirishaji dawa za kulevya.

Wawili hao walishtakiwa baada ya kudaiwa Mei Mosi, 2019 wakiwa eneo la Mbezi Beach, wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kinyume na sheria ya uhujumu uchumi walikutwa na dawa hizo.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *