Man United na Arsenal wamepwaya kimchezo


Miaka kadhaa iliyopita mechi hii ilikuwa ni ya kuwania alama za kusalia kileleni mwa ligi au kunyakua ubingwa kwa timu zote hizi mbili ila kwa sasa ni mechi inayoshuhudia vilabu hivyo kuwania kupanda hadi katika nafasi ya tano, jambo linaloonyesha kupwaya kwa kiwango cha mchezo kwa timu hizi mbili.

Ole Gunnar Solksjaer ni kocha wa Manchester United.

“Sikusema kwamba msimu huu utakuwa rahisi. Nimesema mara nyingi kwamba kutakuwa na milima na mabonde. Na tunapopoteza mechi, tunapopitia kipindi kigumu ni muda wetu kujiamini na kuamini kile tunachokifanya,” alisema Solksjaer.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *