Masaibu ya wana Afrika Mashariki waliokwenda uarabuni kutafuta ajira


Baadhi ya watu wanakwenda kutafuta ajira katika maeneo ya Mashariki ya kati katika mataifa ya kiarabu. Licha ya juhudi za wanaharakati wa haki za binadamu kupinga hali duni na mateso wanayowapata waafrika wanaotafuta kazi katika mataifa hayo bado mambo hayabadiriki. Wanaendelea kuteswa na kunyimwa mishahara yao. Kufahamu ni kwanini hali hii inatokea Mwandishi wa BBC Anne Ngugi anazungumza na Alex Mwanza mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu kutoka Kilifi nchini Kenya, Rukia Ahmed ambaye alifanya kazi Saudi Arabia lakini akarejea baada ya kuteswa, na Hadija Ali Mwiru ambaye alifanya kazi uarabuni lakini sasa amerejea nyumbani Tanzania pamoja na Lucy Wanjiku Kiringu kutoka Kenya. Kwanza Lucy ambaye yuko Saudia anaanza kwa kuelezea masaibu anayoyapitia…Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *