Mashirika ya kibinafsi yanavyoziba pengo la kosefu wa vyoo katika masoko makubwa Zambia


Katika mfululizo wa Makala yetu kuhusu maji na usafi barani Afrika, leo tunaelekea Lusaka mji mkuu wa Zambia. Hapa mashirika ya kibinafsi yameingilia kati kuliziba pengo lililoko la usafi hususan ukosefu wa vyoo kwenye masoko makubwa. Anne Okumu na maelezo Zaidi.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *