Miaka 5 baada ya kifo cha Fidel Castro : Fahamu mjama 638 za mauaji alizoepuka kiongozi huyo wa Cuba


Fidel Castro akivuta sigara yake

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Fidel Castro akivuta sigara yake

Fidel Castro alioongoza Cuba kama taifa lililoamini uongozi wa chama kimoja kwa takriban nusu karne.

Huku mataifa yaliokuwa yakitawaliwa kikomyunisti yakianguka , Castro aliendeleza utawala huo licha ya ukosoaji mkubwa kutoka kwa adui wake mkubwa Marekani.

Akiwa mtu aliyependwa na wengi na pia kupingwa na wengi , mashabiki wake walimpongeza kwa kuwa bingwa wa mfumo wa Kisosholisti na mtu ambaye alilirudisha taifa hilo kwa raia.

Na huku Cuba ikiwa inaadhimisha miaka mitano tangu kifo cha kiongozi huyo , BBCswahili inaangazia njama 637 za mauaji yake alizoziepuka.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *