Mkanyagano wa Israel: Watu 44 wafariki katika tamasha la kidini la Lag B'Omer


Witnesses said some people fell down a crowded set of steps

Chanzo cha picha, Getty Images

Watu wasiopungua 44 wameuawa katika mkanyagano katika sherehe ya kidini iliyojaa watu kaskazini mashariki mwa Israel.

Watu wengine kadhaa walijeruhiwa katika tamasha la Lag B’Omer, ambalo hufanyika kila mwaka chini ya Mlima Meron.

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea kama “janga kubwa” na amesafiri kwenda eneo la tukio.

Makumi ya maelfu ya Wayahudi wa Orthodox walihudhuria sherehe hiyo, na kuifanya kuwa tukio kubwa zaidi nchini Israeli tangu janga la virusi vya Corona lilipoanza.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *