Mke wa rais: Mfahamu Angeline Ndayubaha Ndayishimiye mke wa rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye


Angeline Ndayizeye

Chanzo cha picha, Angeline Ndayizeye

Kama ni kuwa muasi, mke wa muasi na mkimbizi, na hatimaye kuwa mke wa rais, basi ni maisha anayoyafahamu Bi Angeline Ndayishimiye, mkewe rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye.

Bi Angelina Ndayishimiye ni nani hasa ?

Angeline Ndayubaha Ndayishimiye alizaliwa tarehe 18 Juni 1976 katika eneo la Kiganda katika wilaya ya Muramvya, nchini Burundi ambako alipata elimu yake ya msingi na sekondari.

Ukilinganisha na wake wengine wa marais, taarifa kuhusu maisha yake binafsi yake kabla ya kuolewa na Evariste ni nadra.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *