Mshindi wa medali ya mashindano ya dunia Kenya Tirop afariki


Tirop alikutwa nyumbani kwake Iten akiwa na majeraha ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali, kwa mujibu wa Riadha Kenya na ripoti za vyombo vya habari.

Tirop alishinda medali ya shaba ya dunia katika mbio za mita 10,000 mwaka 2017 na 2019, na alimalizia nafasi ya nne katika mbio za mita 5,000 za mashindano ya Olimpiki ya Tokyo zilizofayika Japan mwaka huu.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *