Muammar Gaddafi: Familia yake ilishia wapi miaka 20 baada ya kifo chake?


Gaddafi na mke wake na watoto katika makazi yake ya Bab al-Aziziyah mwaka 1992

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha,

Gaddafi na mke wake na watoto katika makazi yake ya Bab al-Aziziyah mwaka 1992

Jumatano, ilikuwa maadhimisho ya kifo cha Muammar Gaddafi, aliyenyakua madaraka kwa mapinduzi kupitia mwaka 1969, na utawala wake kuendeela hadi alipopinduliwa na kuuawa Oktoba 20, 2011.

Kwa zaidi ya muongo mmoja, maandamano makubwa yaliibuka nchini Libya, ambayo yaligeuka na kuwa vilivyong’oa madarakani Kanali Muammar Gaddafi, ambaye aliiongoza Libya kwa mkon wa chuma kwa miongo minne na kuendesha utawala uliwekwa na wanae wa kiume na ndugu na kuidhibiti nchi :

Lakini je ni nini kilichotokea kwa wanafamilia wa Gaddafi waliobaki?.

Watoto watatu wa kiume wa Gaddafi walikufa katika matukio haya, ikiw ani pamoja na mshauri wa zamani wa usalama, Mutassim Gaddafi, ambaye aliuliwa na watu wenye silaha siku moja na baba yake. Tangu tarehe ile, familia ya Gaddafi imegawanyika, na wamechukua njia tofauti za maishaSource link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *