Mzigo wa akili: Jinsi shukrani inavyoimarisha mahusiano baina ya wenzi


Un homme lave la vaisselle devant une femme qui boit son thé

Chanzo cha picha, LaylaBird

Jumamosi moja asubuhi, mume wangu alishauri nibaki nyumbani ili yeye atoke na watoto.

Nilifarijika sana kwa sababu hua muda mwingi nabaki na watoto, kutokana na mazingira ya kazi zetu.

Nilijua anataka nipate muda wangu binafsi wakujipumzisha, lakini nilihisi kuna umuhimu wa kumwonyesha shukrani kwa alichokifanya, nikaamua kusafisha nyumba na kupika chakula muda ambao alikuwa ametoka.

Shukrani zinajidhihirisha kutokana na jambo jema; kushikamana na jambo linalo waungaisha watu pamoja na pia ambalo husaidia kuwa na mahusiano mazuri.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *