Mzozo wa Tigray Ethiopia: Blinken asema Marekani inasikitishwa na ukatili unaofanyika


Mzozo wa Tigray umewaondoa maelfu ya watu kwenye makazi yao na kukimbilia Sudan

Marekani imelaani vitendo vya kikatili katika jimbo la Kaskazini la Tigray nchini Ethiopia, na kuutaka Umoja wa Afrika kusaidia kutafuta ufumbuzi kwa kuwa ”hali inaendelea kuwa mbaya.”

”Tunasikitishwa na hali mbaya ya kibinadamu,” alisema Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken.

Ripoti ya shirika la Amnesty lilisema uhalifu dhidi ya binadamu unawezaka ulitekelezwa.

Mamia wameuawa na maelfu wamekimbia makazi yao katika kipindi cha miezi minne.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *