Newcastle United: Kwa nini kuna utata Wasaudi Arabia kuinunua klabu hii ya England?


Newcastle United fans

Chanzo cha picha, Getty Images

Klabu ya ligi kuu ya England Newcastle United imenunuliwa na mfuko mkuu wa umma wa Saudi Arabia, “Public Investment Fund (PIF) kwa thamani ya £300m.

Mashabiki wengi wa Newcastle wamekaribisha umiliki huu mpya, wakitumaini uwekezaji huo utaibadilisha timu yao na kufanya vizuri uwanjani, lakini ununuzi huo umekuwa ukishutumiwa kutokana na rekodi za masuala ya ukandamizaji wa haki za binadamu kwenye nchi hiyo ya ghuba ya ufalme wa kiarabu.

Hizi ni sababu zinazothibitisha utata wa ununuzi huo.

1.Mauaji mabaya ya mwandishi wa habari aliyepingaSource link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *