Schalke yapata ushindi na kusonga hadi nafasi ya pili


Schalke wana pointi 25 ijapokuwa na tofauti ndogo ya mabao ikilinganishwa na Gladbach, ambao watashuka dimbani Jumapili dhidi ya Freiburg. Katika mechi za leo, mabingwa Bayern Munich watakuwa nyumbani kuvaana na Bayer Leverkusen, wakati Jurgen Klinsmann ataanza enzi yake ya ukocha katika klabu ya Hertha Berlin nyumbani dhidi ya Borussia Dortmund. Mechi hii italetwa kwako moja kwa moja kupitia Idhaa ya Kiswahili ya DW.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *