Tetesi za Soka Ulaya Ijumaa 22.10.2021:Haaland, Lingard, Mbappe, Van de Beek, Wilshere


m

Chanzo cha picha, Getty Images

Real Madrid watamkosa mshambuliaji wa Borussia Dortmund Erling Braut Haaland,21, huku Manchester City, Paris St-Germain au Bayern Munich kuna uwezekano mkubwa akatua huko. (AS – in Spanish)

Manchester United na Chelsea zinamtaka pia mshambuliaji huyo Mnorway, ambaye anataka mshahara wa zaidi ya £30m kwa mwaka. (ESPN)

Borussia Dortmund wamekasirishwa na kitendo cha kocha wa Chelsea Thomas Tuchel kuzungumza hadharani kuhusu nia ya klabu yake ya kumsajili Haaland. (Bild, via Mirror)

Everton wanamtaka kiungo wa Manchester United na England Jesse Lingard, 28, mwezi Januari. (Football Insider)Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *