Tetesi za soka Ulaya Jumapili tarehe 25.07.2021 : Federico Chiesa, Joaquin Correa, Anthony Martial, Paul Pogba


chiesa

Chanzo cha picha, Getty Images

Juventus wamekataa dau la pauni milioni 86 kutoka kwa Liverpool kwa ajili nya Federico Chiesa. Winga huyo mwenye umri wa miaka 23,alikuwa mchezaji nyota wa Italia katika Euro 2020. (Repubblica)

Arsenal, Tottenham na Everton wanangalia uwezekano wa kumchukua kiungo wa safu ya ushambulizi Muargentina Joaquin Correa, 26, ambaye anatarajiwa kuondoka Lazio msimu huu . (Corriere dello Sport)

Manchester United wanaweza kumuuza mshambuliaji Mfaransa Anthony Martial, 25, huku Tottenham wakiazimia kumchukua mshambuliaji huyo wa Ufaransa. (Star)Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *