Uchaguzi Marekani 2020: Tazama nyakati muhimu za mdahalo kati ya Trump na Biden


Rais wa Marekani Donald Trump na mpinzani wake Joe Biden wamekabiliana vikali katika mdahalo wao wa kwanza kati ya mitatu kabla ya uchaguzi mkuu wa taifa hilo mwezi Novemba.

Wakati wa majabizano makali yaliochukua dakika 90 , wawili hao walilumbana kuhusu mlipuko wa corona, uhalifu, afya, familia zao na hata msimamizi wa kipindi hicho.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *