Utando mkubwa wa buibui watanda Australia baada ya mafuriko


Katika eneo moja , utando huo wa buibui ulifunika takriban kilomita moja ya barabara

Chanzo cha picha, CAROLYN CROSSLEY

Maelezo ya picha,

Katika eneo moja , utando huo wa buibui ulifunika takriban kilomita moja ya barabara

Utando mkubwa wa buibui uliofinika miti umetanda karibu na maeneo ya miji iliokumbwa na mfauriko nchini Australia.

Wakazi katika eneo la Gippsland wanasema kwamba utando huo ulijitokeza baada ya siku kadhaa ya mvua kubwa.

Katika eneo moja , utando huo wa buibui ulifunika takriban kilomita moja ya barabara.

Wataalam wanasema kwamba mbinu inayoitwa ‘Balloning’ ambapo mabuibui hurusha silk ili kupanda katika maeneo ya juu ndio ilisababisha utando huo .Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *