Virusi vya Corona: Mwanamke anayetengeneza barakoa za wavaaji wa hijab na vilemba


Wakati janga la corona lilipoibuka, mwanamitindo wa Melbourne Manmeet Kair alianza kutengeneza barakoa kwa ajili ya watu wa jamii yake. Lakini kutokana na jinsi alivyomuona mume wake akihangaika kuvaa barakoa kuipitisha juu ya kilemba aliamua kutafuta suluhu ambayo imekua msaada kwa wengi.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *