Vita vya Afghan: Marekani na Taliban watia saini kumaliza vita vya miezi 18


Ujumbe wa Marekani Zalmay Khalilzad na Taliban, Mullah Abdul Ghani Baradar

Haki miliki ya picha
AFP

Image caption

Ujumbe wa Marekani Zalmay Khalilzad na Taliban, Mullah Abdul Ghani Baradar walisalimia kwa mkono kwenye makubaliano hayo

Marekani na Taliban wamesaini mkataba wa makubaliano unaolenga kufikiwa kwa amani Amani Afghanistan baada ya mapigano ya zaidi ya miaka 18.

Marekani na washirika wake wa Nato wamekubaliana kuondoa wanajeshi wake katika taifa hilo kwa muda wa miezi 14, kama wanajeshi watadumisha mkataba huo.

Waziri wa mambo ya nje Mike Pompeo na kiongozi wa Taliban walihudhuria hafla hiyo katika mji wa Doha, Qatar.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *