Yafahamu mataifa 10 barani Afrika yenye uwezo mkubwa wa kijeshi 2021


Wanajeshi walinda amani wakipiga doria Libya

Chanzo cha picha, Reuters

Maelezo ya picha,

Wanajeshi walinda amani wakipiga doria Libya

Uwezo wa kijeshi ni muhimu katika taifa lolote endelevu linalotaka kulinda mipaka yake mbali na maslahi yake kwa jumla .

Mtandao wa Global Firepower kupitia utafiti wake umeorodhesha uwezo wa kila jeshi barani Afrika kulingana na idadi ya wanajeshi, uwezo wake wa angani, ardhini, fedha zinazotengwa kugharamia majeshi hayo, vifaa vya kijeshi, mali asli, uwezo wa majini na kadhalika.

Hapa chini ni orodha ya majeshi 10 yenye uwezo mkubwa barani Afrika.

1. Misri

Kwa jumla Misri ndilo taifa linaloongoza kijeshi barani Afrika kutokana na ukubwa wa jeshi lake. Taifa hilo limewekwa katika nambari ya 12 kote duniani kutokana na uwezo wake.Source link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *