Zitto ahoji polisi kuzuia kongamano Zanzibar


Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amelaani hatua ya polisi kuzuia kongamano lililoandaliwa na kamati ya maridhiano Zanzibarla chama hicho licha ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Thobias Sedeyoka akisema polisi hawajavunja kongamano. Mbunge huyo wa Kigoma Mjini amesema kuvunjwa kwa kongamano hilo na polisi kumtaka Maalim Seif kuondoka ukumbini ni kinyume na sheria na taratibu. Lakini ni nini hasa kilichofanyika? Bw. Zitto amezungumza na Mwandishi wa BBC Caro RobiSource link

Author: mas

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *