Recent Posts

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Khaby Lame: Siri ya mafaniko ya nyota huyu wa TikTok kutoka Senegal ni gani?

Nyota wa TikTok mzaliwa wa Senegal Khaby Lame ni maarufu sana mtandoni. Anajulikana kwa hadithi zake za kubadilisha “mtazamo wa…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Ethiopia yafanya mashambulizi kwa siku ya nne Tigray

Mashambulizi ya viikosi vya Ethiopia katika jimbo la Tigray yameingia siku ya nne mfululizo tangu serikali hiyo inayoongozwa na Waziri…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Polycystic kidney: Figo zenye uzito wa kilo 35 zatolewa katika upasuaji

Huwezi kusikiliza tena Polycystic kidney: Figo zenye uzito wa kilo 35 zatolewa katika upasuaji Dakika 3 zilizopita Mtu anayeaminika kuwa…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Inawezekana vinyesi kudondoka kutoka kwenye ndege? na kuna uwezekano gani wa vinyesi hivyo kutumwagikia?

Dakika 7 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Waingereza huwa na wasiwasi wa hali ya hewa, lakini mtu mmoja kutoka…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mwigizaji Baldwin amuua mwanamke wakati wa uigizaji

Maafisa wanasema mwongozaji wa filamu Halyna Hutchins amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata na mwenzake Joel Souza amejeruhiwa pia katika tukio…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Umoja wa Ulaya utasimama kidete dhidi ya ukaidi wa Poland

Katika mkutano wa kilele wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya uliofanyika Alhamisi; Waziri Mkuu wa Poland Mateusz Morawiecki alijibu…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Newcastle United: Kwa nini kuna utata Wasaudi Arabia kuinunua klabu hii ya England?

Dakika 17 zilizopita Chanzo cha picha, Getty Images Klabu ya ligi kuu ya England Newcastle United imenunuliwa na mfuko mkuu…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Eswatini yapiga marufuku maandamano

Waziri wa Kazi ya Umma nchini humo Prince Simelane amewaambia waandishi wa habari kwamba kufuatia misururu ya visa vya vurugu…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mafuriko India: Tazama jinsi nyumba hii ilivyosombwa na mafuriko jimbo la Kerala

Takriban watu 26 walifariki katika mafuriko kusini mwa India baada ya mvua kali kusababisha mto kufurika , na kusababisha uharibifu…

 Leave a comment
 Continue Reading...
Posted in Uncategorized

Mkuu wa genge Haiti atishia kuwaua mateka wamishonari

Video hiyo iliyochukuliwa Jumatano na kuchapishwa jana Alhamisi kwenye mitandao ya kijamii inamuonyesha Wilson Joseph, akiwa amevaa suti na kuzungukwa…